# Katika mwaka wa tano wa Yoramu mwana wa Ahabu, mfalme wa Israeli
Hii inaeleza kipindi ambacho Yehoramu alipoanza kutawala kueleza mda gani Yoramu, mfalme aliyepo wa Israeli, alitawala. "Katika tano ambao Yoramu mwana wa Ahabu alipokuwa mfalme wa Israeli"
# mwaka wa tano
"mwaka wa 5"
# Yoramu alianza kutawala
Yoramu, mwana wa Yehoshafati, akawa mfalme wa Yuda.