sw_tn/2ki/08/10.md

1006 B

hadi alipoona aibu

"hadi Hazaeli alijisikia hana raha"

bwana wangu

Hazaeli anarejea kwa Elisha kwa njia hii kumheshimu yeye.

Kwa najua

Mungu alimuonyesha Elisha nini kitchukua nafasi mbeleni.

utafanya

Neno "wewe" linamrejea Hazaeli na kumrejea yeye mwenyewe na maaskari chini ya utawala wake wakti wakiwa mfalme. "utasababisha itokee" au "utawaagiza maaskari wako"

Utaweka ... utawaua

Neno "wewe" linamuwakilisha Hazaeli hapa kurejea kwa maaskari na sio kwa Hazaeli mwenyewe. "Ninyi maaskari mtawekwa ... maaskari wako watauawa"

kuwaseta vipande vipande watoto wao

"kuwaponda watoto wao wadogo. "Haya ni maelezo ya ukatili ya maaskari kuwau watoto.

kuwaua watoto wao wadogo kwa upanga

Hii inamaanisha kwamba wanaume watauawa kwa kwenye vita. Upanga ulikuwa silaha kubwa iliyokuwa ikitumika katika vita. "kuwaua watoto wao wa kiume wadogo katika vita"

kupasua mimba zao wanawake

Hii inarejea hasa kupasua wazi matumbo yao. "pasua wazi matumbo ya mimba za wanawake kwa upanga"