sw_tn/2ki/08/10.md

32 lines
1006 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hadi alipoona aibu
"hadi Hazaeli alijisikia hana raha"
# bwana wangu
Hazaeli anarejea kwa Elisha kwa njia hii kumheshimu yeye.
# Kwa najua
Mungu alimuonyesha Elisha nini kitchukua nafasi mbeleni.
# utafanya
Neno "wewe" linamrejea Hazaeli na kumrejea yeye mwenyewe na maaskari chini ya utawala wake wakti wakiwa mfalme. "utasababisha itokee" au "utawaagiza maaskari wako"
# Utaweka ... utawaua
Neno "wewe" linamuwakilisha Hazaeli hapa kurejea kwa maaskari na sio kwa Hazaeli mwenyewe. "Ninyi maaskari mtawekwa ... maaskari wako watauawa"
# kuwaseta vipande vipande watoto wao
"kuwaponda watoto wao wadogo. "Haya ni maelezo ya ukatili ya maaskari kuwau watoto.
# kuwaua watoto wao wadogo kwa upanga
Hii inamaanisha kwamba wanaume watauawa kwa kwenye vita. Upanga ulikuwa silaha kubwa iliyokuwa ikitumika katika vita. "kuwaua watoto wao wa kiume wadogo katika vita"
# kupasua mimba zao wanawake
Hii inarejea hasa kupasua wazi matumbo yao. "pasua wazi matumbo ya mimba za wanawake kwa upanga"