sw_tn/2ki/07/14.md

433 B

Nenda na tazama

Habari ya uwazi inaweza kuongezwa kufanya maana wazi. "Nenda na tazama kama hawa wakoma walichikisema ni kweli"

Walifuatana nao kwenda Yordani

"Walifuata njia ya jeshi la Washamu kuchukua njia ya mto Yordani"

njia zote zilikuwa zimejaa nguo na vifaa

Hii inamaanisha kwamba watu waliviona hivi vitu vimetawanyika karibu na barabara walipokuwa wakisafiri. "kulikuwa na nguo na vitu vyote karibu na barabara"