sw_tn/2ki/07/14.md

12 lines
433 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nenda na tazama
Habari ya uwazi inaweza kuongezwa kufanya maana wazi. "Nenda na tazama kama hawa wakoma walichikisema ni kweli"
# Walifuatana nao kwenda Yordani
"Walifuata njia ya jeshi la Washamu kuchukua njia ya mto Yordani"
# njia zote zilikuwa zimejaa nguo na vifaa
Hii inamaanisha kwamba watu waliviona hivi vitu vimetawanyika karibu na barabara walipokuwa wakisafiri. "kulikuwa na nguo na vitu vyote karibu na barabara"