sw_tn/2ki/07/05.md

24 lines
744 B
Markdown

# wakati wa jioni
Hii inarejea mapema jioni baada ya jua kuzama, lakini kabla ya giza.
# Washami kusikia sauti ya magari ya farasi, na sauti za farasi-sauti za jeshi jingine kubwa
Maaskari wa Shami walisikia s
# jeshi la Washami kusikia sauti ya magari ya farasi, na sauti za farasi-sauti za jeshi jingine kubwa
Maaskari wa jeshi Washami walisikia sauti zilizokuwa zinalia kama jeshi kubwa linalokaribia kuwapiga. Hili halikuwa jeshi halisi, lakini Bwana aliwatengeneza kusikia hizi sauti.
# waliambizana kila mmoja
"maaskari wa Washami waliambizana kila mmoja"
# wafalme wa Wahitina Wamisri
Hapa neno "wafalme" linawakilisha majeshi ya haya mataifa. "majeshi ya Wahiti na Wamisri"
# kuja juu yetu
"kutupiga sisi" au "kutushambulia"