# wakati wa jioni Hii inarejea mapema jioni baada ya jua kuzama, lakini kabla ya giza. # Washami kusikia sauti ya magari ya farasi, na sauti za farasi-sauti za jeshi jingine kubwa Maaskari wa Shami walisikia s # jeshi la Washami kusikia sauti ya magari ya farasi, na sauti za farasi-sauti za jeshi jingine kubwa Maaskari wa jeshi Washami walisikia sauti zilizokuwa zinalia kama jeshi kubwa linalokaribia kuwapiga. Hili halikuwa jeshi halisi, lakini Bwana aliwatengeneza kusikia hizi sauti. # waliambizana kila mmoja "maaskari wa Washami waliambizana kila mmoja" # wafalme wa Wahitina Wamisri Hapa neno "wafalme" linawakilisha majeshi ya haya mataifa. "majeshi ya Wahiti na Wamisri" # kuja juu yetu "kutupiga sisi" au "kutushambulia"