sw_tn/2ki/06/30.md

894 B

aliposikia yale maneno ya yule mwanamke

"msikilize mwanamke mwambie alikuwa na mwanamke mwingine alifanya,"

alirarua mavazi yake

Mfalme alichana mavazi yake ya nje kuonyesha huzuni yake. "alirarua mavazi yake katika huzuni"

sasa alikuwa akipita juu ya ukuta

alikuwa akitembea juu ya ukuta wa mji wakati mwanamke alipoitwa naye nje.

alikuwa amevaa nguo ya gunia chini, dhidi ya ngozi yake

Kwa kuvaa mavazi ya gunia hata kwa ajili ya vazi la ndani, mfalme alionyesha kwamba alikuwa na huzuni kubwa sana na kufadhaika sana.

Mungu afanye hivyo kwangu, na zaidi pia

Mfalme anasema anatumaini Mungu atamuadhibu na hata kuua kama Elisha nabii hatakufa kwa sababu ya mambo yaliyotokea katika mji wa Samaria. "Mungu aniadhibu na kuniua"

kama kichwa cha Elisha mwana wa Shefati

Hii inamrejea Elisha kufa, dhahiri kukatwa kichwa. "kama Elisha mwana wa Shafati hajakatwa kichwa leo"