forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
894 B
Markdown
24 lines
894 B
Markdown
|
# aliposikia yale maneno ya yule mwanamke
|
||
|
|
||
|
"msikilize mwanamke mwambie alikuwa na mwanamke mwingine alifanya,"
|
||
|
|
||
|
# alirarua mavazi yake
|
||
|
|
||
|
Mfalme alichana mavazi yake ya nje kuonyesha huzuni yake. "alirarua mavazi yake katika huzuni"
|
||
|
|
||
|
# sasa alikuwa akipita juu ya ukuta
|
||
|
|
||
|
alikuwa akitembea juu ya ukuta wa mji wakati mwanamke alipoitwa naye nje.
|
||
|
|
||
|
# alikuwa amevaa nguo ya gunia chini, dhidi ya ngozi yake
|
||
|
|
||
|
Kwa kuvaa mavazi ya gunia hata kwa ajili ya vazi la ndani, mfalme alionyesha kwamba alikuwa na huzuni kubwa sana na kufadhaika sana.
|
||
|
|
||
|
# Mungu afanye hivyo kwangu, na zaidi pia
|
||
|
|
||
|
Mfalme anasema anatumaini Mungu atamuadhibu na hata kuua kama Elisha nabii hatakufa kwa sababu ya mambo yaliyotokea katika mji wa Samaria. "Mungu aniadhibu na kuniua"
|
||
|
|
||
|
# kama kichwa cha Elisha mwana wa Shefati
|
||
|
|
||
|
Hii inamrejea Elisha kufa, dhahiri kukatwa kichwa. "kama Elisha mwana wa Shafati hajakatwa kichwa leo"
|