sw_tn/2ki/06/12.md

28 lines
612 B
Markdown

# Hapana
Huyu mtumishi anasema kwamba hakuna maaskari wa mfalme anayempatia habari mfalme wa Israeli.
# bwana wangu, mfalme
Hii inarejea kwa mfalme wa Shami.
# maneno uliyoyazungumza katika kitanda chako mwenyewe
"kile ulichokisema katika siri ya kitanda chako mwenyewe"
# Naweza kuleta watu na kumkamata
Mfalme anapanga kutuma watu kumkamata Elisha kwa ajili yake. Mfalme hapangi kumkamata yeye mwenyewe. "naweza kuleta watu kumkamata"
# Tazama
Hili neno limetumika hapa kuvuta usikivu wa mfalme kwa kile alichokisema. "Siliza"
# Yupo Dotahazi
"Elisha yuko Dotahani"
# Dothani
Hili ni jina la mji.