sw_tn/2ki/06/12.md

612 B

Hapana

Huyu mtumishi anasema kwamba hakuna maaskari wa mfalme anayempatia habari mfalme wa Israeli.

bwana wangu, mfalme

Hii inarejea kwa mfalme wa Shami.

maneno uliyoyazungumza katika kitanda chako mwenyewe

"kile ulichokisema katika siri ya kitanda chako mwenyewe"

Naweza kuleta watu na kumkamata

Mfalme anapanga kutuma watu kumkamata Elisha kwa ajili yake. Mfalme hapangi kumkamata yeye mwenyewe. "naweza kuleta watu kumkamata"

Tazama

Hili neno limetumika hapa kuvuta usikivu wa mfalme kwa kile alichokisema. "Siliza"

Yupo Dotahazi

"Elisha yuko Dotahani"

Dothani

Hili ni jina la mji.