sw_tn/2ki/06/04.md

449 B

Maelzo ya Jumla:

Elisha alienda na manabii kukata miti.

kichwa shoka kikaangukia kwenye maji

Kichwa cha shoka kinarejea kwenye ubapa wa shoka. Hii inamaanisha kwamba kichwa cha shoka kikalegea kutoka kwenye mkono wake na kuangukia kwenye maji. "kichwa cha shoka kikajitenga kutoka kwenye mshkio na kuangukia kwenye maj"

la hasha

Yule mtu alisema hivi kuonyesha kwamba alikuwa amekasirika na kukata tamaa.

ilikuwa imeazimwa

"kuiazima"