sw_tn/2ki/06/04.md

16 lines
449 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelzo ya Jumla:
Elisha alienda na manabii kukata miti.
# kichwa shoka kikaangukia kwenye maji
Kichwa cha shoka kinarejea kwenye ubapa wa shoka. Hii inamaanisha kwamba kichwa cha shoka kikalegea kutoka kwenye mkono wake na kuangukia kwenye maji. "kichwa cha shoka kikajitenga kutoka kwenye mshkio na kuangukia kwenye maj"
# la hasha
Yule mtu alisema hivi kuonyesha kwamba alikuwa amekasirika na kukata tamaa.
# ilikuwa imeazimwa
"kuiazima"