sw_tn/2ki/05/07.md

590 B

akararua mavazi yake

Mara nyingi watu walipasua nguo zao kama walikuwa katika huzuni."alichana nguo zake kuonyesha huzuni yake"

Je mimi ni Mungu, niue na nirudishe uhai, kwamba huyu mtu anataka nimponye mtu ukoma wake?

Mfalme anatumia hili swali lisilo na majibu kusisitiza ombi la mfalme wa Shami ni hasira na ni kitu ambacho hawezi kufanya.

Inaonekana anatafuta mashindano na mimi

Mfalme wa Israeli hakuamini ombi kumponya Naamani ilikuwa sababu ya kweli kwa ajili ya barua. Alifikiri sababu ya kweli ilikuwa kuanza kupigana. "inaonekana anatafuta udhuru kuanza kupigana nami"