forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
590 B
Markdown
12 lines
590 B
Markdown
|
# akararua mavazi yake
|
||
|
|
||
|
Mara nyingi watu walipasua nguo zao kama walikuwa katika huzuni."alichana nguo zake kuonyesha huzuni yake"
|
||
|
|
||
|
# Je mimi ni Mungu, niue na nirudishe uhai, kwamba huyu mtu anataka nimponye mtu ukoma wake?
|
||
|
|
||
|
Mfalme anatumia hili swali lisilo na majibu kusisitiza ombi la mfalme wa Shami ni hasira na ni kitu ambacho hawezi kufanya.
|
||
|
|
||
|
# Inaonekana anatafuta mashindano na mimi
|
||
|
|
||
|
Mfalme wa Israeli hakuamini ombi kumponya Naamani ilikuwa sababu ya kweli kwa ajili ya barua. Alifikiri sababu ya kweli ilikuwa kuanza kupigana. "inaonekana anatafuta udhuru kuanza kupigana nami"
|