sw_tn/2ki/05/05.md

551 B

nitatuma barua

Mfalme anaenda kumpatia barua Naamani kwenda pamoja naye kwa mfalme wa Israeli. "nitatuma barua pamoja nawe"

talanta kumi za fedha, elfu sita vipande vya dhahabu

"talanta 10 za fedha, vipande vya 6,000 vya dhahabu." Hii inaweza kuandikwa katika vipimo vya kisasa. "kilo 340 ya fedha, 6,000 ya vipande vya dhahabu"

akachukua pamoja naye kumi ... mavazi

Hizi zilikuwa zawadi kutoka kwa mfalme wa Shami kwa ajili ya mfalme wa Israeli. "chukua pamoja naye kumi ... mavazi, ambazo zilikuwa zawadi kwa ajili ya mfalme wa Israeli"