forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
551 B
Markdown
12 lines
551 B
Markdown
|
# nitatuma barua
|
||
|
|
||
|
Mfalme anaenda kumpatia barua Naamani kwenda pamoja naye kwa mfalme wa Israeli. "nitatuma barua pamoja nawe"
|
||
|
|
||
|
# talanta kumi za fedha, elfu sita vipande vya dhahabu
|
||
|
|
||
|
"talanta 10 za fedha, vipande vya 6,000 vya dhahabu." Hii inaweza kuandikwa katika vipimo vya kisasa. "kilo 340 ya fedha, 6,000 ya vipande vya dhahabu"
|
||
|
|
||
|
# akachukua pamoja naye kumi ... mavazi
|
||
|
|
||
|
Hizi zilikuwa zawadi kutoka kwa mfalme wa Shami kwa ajili ya mfalme wa Israeli. "chukua pamoja naye kumi ... mavazi, ambazo zilikuwa zawadi kwa ajili ya mfalme wa Israeli"
|