sw_tn/2ki/04/25.md

296 B

Hivyo alienda na kuja na mtu wa Mungu katika mlima Karmeli

"Hivyo alisafiri kuelekea Mlima Karmeli ambapo Elisha, mtu wa Mungu, alipokuwa"

Hivyo wakati mtu wa Mungu alipomuona kwa mbali

"Wakati alipokuwa mbali, na alimuona akija"

Hawajambo

"Hawajambo" au, kila kitu kiko salama" (UDB)