sw_tn/2ki/04/25.md

12 lines
296 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hivyo alienda na kuja na mtu wa Mungu katika mlima Karmeli
"Hivyo alisafiri kuelekea Mlima Karmeli ambapo Elisha, mtu wa Mungu, alipokuwa"
# Hivyo wakati mtu wa Mungu alipomuona kwa mbali
"Wakati alipokuwa mbali, na alimuona akija"
# Hawajambo
"Hawajambo" au, kila kitu kiko salama" (UDB)