sw_tn/2ki/04/21.md

374 B

juu ya kitanda cha mtu wa Mungu

Hiki kilikuwa kitanda katika chumba alichokuwa amekiandaa kwa ajili ya Elisha aliposafiri kupitia Shunemu.

mtu wa Mungu

"Elisha, mtu wa Mungu"

ili niweze kuwahi kwa mtu wa Mungu ili niweze kurudi

Yule mwanamke alimwambia mume wake alikuwa anaenda kumuona Elisha lakini hakusema kwamba alienda kwa sababu mtoto wao alikuwa amekufa.