sw_tn/2ki/04/21.md

12 lines
374 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# juu ya kitanda cha mtu wa Mungu
Hiki kilikuwa kitanda katika chumba alichokuwa amekiandaa kwa ajili ya Elisha aliposafiri kupitia Shunemu.
# mtu wa Mungu
"Elisha, mtu wa Mungu"
# ili niweze kuwahi kwa mtu wa Mungu ili niweze kurudi
Yule mwanamke alimwambia mume wake alikuwa anaenda kumuona Elisha lakini hakusema kwamba alienda kwa sababu mtoto wao alikuwa amekufa.