sw_tn/2ki/04/14.md

340 B

Muite

"Mwambie aje kutuona"

Wakati alipomuita

"Wakati Gehazi alipomuita"

mlango

Hii inahusu mlango wa kutokea. "mlango wa kutokea"

mwana

"mwanao"

bwana wangu na mtu wa Mungu

Mwanamke anatumia haya majina yote kumrejea Elisha.

mtumishi wako

Mwanamke ajirejea yeye mwenyewe kama mtumishi wa Elisha kumounyesha heshima.