sw_tn/2ki/04/14.md

24 lines
340 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Muite
"Mwambie aje kutuona"
# Wakati alipomuita
"Wakati Gehazi alipomuita"
# mlango
Hii inahusu mlango wa kutokea. "mlango wa kutokea"
# mwana
"mwanao"
# bwana wangu na mtu wa Mungu
Mwanamke anatumia haya majina yote kumrejea Elisha.
# mtumishi wako
Mwanamke ajirejea yeye mwenyewe kama mtumishi wa Elisha kumounyesha heshima.