sw_tn/2ki/04/08.md

360 B

Sunemu

Hili ni jina la mji.

alimwagiza kunywa uji pamoja naye

Hii inamaanisha kwamba alimwambia kuacha na kupata chakula kwenye nyumba yake. "alimuuliza kuja kwenye nyumba yake kupata chakula"

pita karibu

"alisafiri kupitia Shunemu"

Tazama, sasa natambua

"Sasa ninaelewa"

aliyekuwa akipita karibu mara zote

"aliyekuwa akipita mara kwa mara"