sw_tn/2ki/04/08.md

20 lines
360 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sunemu
Hili ni jina la mji.
# alimwagiza kunywa uji pamoja naye
Hii inamaanisha kwamba alimwambia kuacha na kupata chakula kwenye nyumba yake. "alimuuliza kuja kwenye nyumba yake kupata chakula"
# pita karibu
"alisafiri kupitia Shunemu"
# Tazama, sasa natambua
"Sasa ninaelewa"
# aliyekuwa akipita karibu mara zote
"aliyekuwa akipita mara kwa mara"