sw_tn/2ki/03/15.md

436 B

Ndipo alipokuja

"Na ikatokea kwamba"

mpiga muziki

mtu apigaye kinubi

mkono wa Yahwe ukaja juu ya Elisha

Hapa "mkono" wa Yahwe inarejea kwa "nguvu" yake. "nguvu ya Yahwe ikaja juu ya Elisha"

mahandaki

Andaki ni mfereji mrefu ambao wafanya kazi huchimba ndani ya nchi kukusanya maji.

hili bonde la mto litajaa maji

"An ikatokea kwamba"

mtakunywa

Hii inarejea kunywa maji ambayo Yahwe aliyoyaandaa. "mtakunywa maji"