sw_tn/2ki/03/15.md

24 lines
436 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ndipo alipokuja
"Na ikatokea kwamba"
# mpiga muziki
mtu apigaye kinubi
# mkono wa Yahwe ukaja juu ya Elisha
Hapa "mkono" wa Yahwe inarejea kwa "nguvu" yake. "nguvu ya Yahwe ikaja juu ya Elisha"
# mahandaki
Andaki ni mfereji mrefu ambao wafanya kazi huchimba ndani ya nchi kukusanya maji.
# hili bonde la mto litajaa maji
"An ikatokea kwamba"
# mtakunywa
Hii inarejea kunywa maji ambayo Yahwe aliyoyaandaa. "mtakunywa maji"