sw_tn/2ki/03/07.md

696 B

Maelezo ya Jumla:

Mfalme Yoramu anaendelea kuongea na Mfalme Yehoshafati.

Je mtaenda pamoja juu ya Moabu kupigana?

Neno "ninyi" linamrejea Yehoshafati, lakini linawarejea wote yeye na jeshi lake lote. Hapa "Moabu" anasimama badala ya "jeshi la Moabu."

Nitaenda

Yehoshafati anasema hivi yeye pamoja na jeshi lake lote watapigana na Mfalme Yoramu juu ya Moabu. "Tutaenda pamoja"

Mimi ni kama wewe, watu wangu ni kama watu wako, farasi wangu ni kama farasi wako

Yehoshafati anamuacha Yoramu kutumia mwenyewe, watu wake, na farasi wake kwa kusudi lake mwenyewe. Anaizungumzia hii kana kwamba wanamilikiwa na Yoramu.

Kwa njia ya jangwa la Edemu

"Kwa kwenda kupitia jangwa la Edomu"