forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
696 B
Markdown
20 lines
696 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Mfalme Yoramu anaendelea kuongea na Mfalme Yehoshafati.
|
||
|
|
||
|
# Je mtaenda pamoja juu ya Moabu kupigana?
|
||
|
|
||
|
Neno "ninyi" linamrejea Yehoshafati, lakini linawarejea wote yeye na jeshi lake lote. Hapa "Moabu" anasimama badala ya "jeshi la Moabu."
|
||
|
|
||
|
# Nitaenda
|
||
|
|
||
|
Yehoshafati anasema hivi yeye pamoja na jeshi lake lote watapigana na Mfalme Yoramu juu ya Moabu. "Tutaenda pamoja"
|
||
|
|
||
|
# Mimi ni kama wewe, watu wangu ni kama watu wako, farasi wangu ni kama farasi wako
|
||
|
|
||
|
Yehoshafati anamuacha Yoramu kutumia mwenyewe, watu wake, na farasi wake kwa kusudi lake mwenyewe. Anaizungumzia hii kana kwamba wanamilikiwa na Yoramu.
|
||
|
|
||
|
# Kwa njia ya jangwa la Edemu
|
||
|
|
||
|
"Kwa kwenda kupitia jangwa la Edomu"
|