forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
546 B
Markdown
12 lines
546 B
Markdown
# wakati wale wajumbe waliporudi kwa Ahazia
|
|
|
|
Baada ya kuonana na Eliya, wajumbe walirudi kwa mfalme badala ya kwenda kwa Ekroni.
|
|
|
|
# Je ni kwa sababu hakuna Mungu katika Israeli mpaka mmewatuma watu kwenda kumuuliza kwa Baal Zabubu, mungu wa Ekroni?
|
|
|
|
Hili swali lisilo na majibu limeuliza kwa kama kuonya kwa ajili ya mashauri na Baal Zebubu. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi.
|
|
|
|
# hutashuka kutoka kitanda ulichokipanda
|
|
|
|
Wakati Mfalme Ahazia alipokuwa ameumia, alilazwa kwenye kitanda. Yahwe alisema kwamba hatapona na kuweza kutoka kitandani.
|