sw_tn/2ki/01/05.md

546 B

wakati wale wajumbe waliporudi kwa Ahazia

Baada ya kuonana na Eliya, wajumbe walirudi kwa mfalme badala ya kwenda kwa Ekroni.

Je ni kwa sababu hakuna Mungu katika Israeli mpaka mmewatuma watu kwenda kumuuliza kwa Baal Zabubu, mungu wa Ekroni?

Hili swali lisilo na majibu limeuliza kwa kama kuonya kwa ajili ya mashauri na Baal Zebubu. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi.

hutashuka kutoka kitanda ulichokipanda

Wakati Mfalme Ahazia alipokuwa ameumia, alilazwa kwenye kitanda. Yahwe alisema kwamba hatapona na kuweza kutoka kitandani.