sw_tn/2co/13/07.md

389 B

kwamba msifanye neno lolote baya

"msitende dhambi kwa jambo lolote" "kwamba muweze kutenda mambo yote kwa haki."

muweze kushinda majaribu

"tuwe walimu na tuishi katika kweli"

hatuwezi kufanya jambo lolote kinyume na kweli

"hatuwezi kuwazuia watu katika kujifunza ukweli'

ukweli...lakini ni kwa ajili ya kweli tu.

"kila kitu tukifanyacho kitawasaidia watu kujifunza ukweli"