sw_tn/2co/13/07.md

16 lines
389 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kwamba msifanye neno lolote baya
"msitende dhambi kwa jambo lolote" "kwamba muweze kutenda mambo yote kwa haki."
# muweze kushinda majaribu
"tuwe walimu na tuishi katika kweli"
# hatuwezi kufanya jambo lolote kinyume na kweli
"hatuwezi kuwazuia watu katika kujifunza ukweli'
# ukweli...lakini ni kwa ajili ya kweli tu.
"kila kitu tukifanyacho kitawasaidia watu kujifunza ukweli"