sw_tn/2co/12/03.md

641 B

Habari za Jumla:

Paulo anazidi kujizungumzia yeye mwenyewe ingawa kama vile alikuwa anazungumzia mtu mwingine

mtu huyu alichukuliwa juu hadi paradiso

Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa jini hii: Maana zinazowezekana: "Mungu tazama mtu huyu...katka paradiso" au "malaika alimchukua mtu huyu .

alichukuliwa juu

ghafla na kwa kulazimishwa alifanyika na kuchukuliwa

Paradiso

Maana zinazoezekana ni hizi" mbibuni au mbingu ya tatu au sehemu maalumu mbinguni.

kwa niaba ya mtu kama huyo

"kwa niaba ya mtu huyo"

sitajisifu, isipokuwa kuhusu udhaifu wangu

Sentensi hii yaweza kusemwa hivi: "Nitajivuna tu kwa udhaifu wangu"