# Habari za Jumla: Paulo anazidi kujizungumzia yeye mwenyewe ingawa kama vile alikuwa anazungumzia mtu mwingine # mtu huyu alichukuliwa juu hadi paradiso Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa jini hii: Maana zinazowezekana: "Mungu tazama mtu huyu...katka paradiso" au "malaika alimchukua mtu huyu . # alichukuliwa juu ghafla na kwa kulazimishwa alifanyika na kuchukuliwa # Paradiso Maana zinazoezekana ni hizi" mbibuni au mbingu ya tatu au sehemu maalumu mbinguni. # kwa niaba ya mtu kama huyo "kwa niaba ya mtu huyo" # sitajisifu, isipokuwa kuhusu udhaifu wangu Sentensi hii yaweza kusemwa hivi: "Nitajivuna tu kwa udhaifu wangu"