sw_tn/2co/11/27.md

28 lines
1.0 KiB
Markdown

# na uchi
Katika sentensi ina maanisha "na kukosa nguo ya kunitia joto"
# nani ni dhaifu, na mimi siyo dhaifu?
Hili ni swali la kujihoji linaloweza kutafiriwa kam ifuatavyo: Wakati mtu yeyote akiwa dhaifu, na mimi najisikia nina udhaifu pia."
# kuna msukumo wa kila siku juu yangu wa wasiwasi wangu
Paulo anafahamu kwamba Mungu atamshikilia kuwajibika kwa jinsi makanisa yanavyomtii Mungu na anazungumza juu ya yale maarifa kama vile yalikuwa mzigo mzito wa kitu kinacho msukuma chini.
# Nani ni dhaifu, na mimi siyo dhaifu?
Neno "dhaifu"huenda ni mfano kelezea hali ya kiroho. Lakini hakuna hata mmoja anajua kwa hakika paulo anazungumzia nini!
# Nani amesababisha mwingine kuanguka
Paulo anatumia swali hili kuonyesha hasira yake wakati mmwamini amesababishwa kutenda dhaambi.
# amesababisha kuanguka
Paulo anazungumzia juu ya dhambi ilikuwa kitu kitu fulani kinatchotembea na hatimaye kuanguka.
# mimi siungui
Paulo anazungumzia kwa hasira juu ya dhambi kama vile alikuwa na moto ndani ya mwili wake.