forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
961 B
Markdown
32 lines
961 B
Markdown
# Sentensi Unganishi
|
|
|
|
Vile Paulo anaendelea kuthibitisha utume wake, anazungumza vitu vya wazi ambavyo vimetokea kwake tangu alipo kuwa mwamini.
|
|
|
|
# Je, wao ni Waisraeli?..Je, wao ni Waisraeli?..Je, wao ni uzao wa Abrahamu?...Je, wao ni watumishi wa Kristo?...(Nanena kama nilikuwa nimechanganyikiwa.) Mimi ni zaidi
|
|
|
|
Paulo anauliza maswal Wakorintho wanaweza kuwa walikuwa wanauliza na tena kuwajibu kusisitiza kuwa yeye ni myahudi zaidi -kama walivyo mitume bora.
|
|
|
|
# kana kwamba kama nilikuwa nimechanganyikiwa
|
|
|
|
"kana kwamba nilikuwa siwezi kufikiri vizuri"
|
|
|
|
# Mimi zaidi
|
|
|
|
Inaweza kuwekwa wazimkwa kusema "Mimi ni mtumishi wa Kristo zaidi kuliko walivyo"
|
|
|
|
# hata katika kazi ngumu
|
|
|
|
"nimefanya kazi ngumu"
|
|
|
|
# mbali zaidi ya kuwa vifungoni,
|
|
|
|
"nimekuwa vifungoni mara nyingi"
|
|
|
|
# katika kupigwa kwingi
|
|
|
|
Hiki ni nahau na imetumika kuelezea kwa undani msisitizo mara ngapi yeye amepigwa,
|
|
|
|
# katika kukabili hatari nyingi za kifo.
|
|
|
|
"na karibia nife mara nyingi"
|