sw_tn/2co/11/22.md

961 B

Sentensi Unganishi

Vile Paulo anaendelea kuthibitisha utume wake, anazungumza vitu vya wazi ambavyo vimetokea kwake tangu alipo kuwa mwamini.

Je, wao ni Waisraeli?..Je, wao ni Waisraeli?..Je, wao ni uzao wa Abrahamu?...Je, wao ni watumishi wa Kristo?...(Nanena kama nilikuwa nimechanganyikiwa.) Mimi ni zaidi

Paulo anauliza maswal Wakorintho wanaweza kuwa walikuwa wanauliza na tena kuwajibu kusisitiza kuwa yeye ni myahudi zaidi -kama walivyo mitume bora.

kana kwamba kama nilikuwa nimechanganyikiwa

"kana kwamba nilikuwa siwezi kufikiri vizuri"

Mimi zaidi

Inaweza kuwekwa wazimkwa kusema "Mimi ni mtumishi wa Kristo zaidi kuliko walivyo"

hata katika kazi ngumu

"nimefanya kazi ngumu"

mbali zaidi ya kuwa vifungoni,

"nimekuwa vifungoni mara nyingi"

katika kupigwa kwingi

Hiki ni nahau na imetumika kuelezea kwa undani msisitizo mara ngapi yeye amepigwa,

katika kukabili hatari nyingi za kifo.

"na karibia nife mara nyingi"