sw_tn/2co/11/19.md

1.0 KiB

mlichukuliana na wapumbavu

"nikubali mimi ninapotenda kama mpembavu"

ninyi wenyewe mna busara

Paulo ana waaibisha Wakorintho kwa ktumia kinyume au kejeli.

akikutia utumwani

Paulo anazungumzia juu ya sheria ambazo Mungu hakuzifanya lakini baadhi ya watuwaliwalazimisha wengine kutii kana kwamba ilikuwa utumwa.

yeye huwaharibu ninyi

Paulo anazungumzia juu ya utume ulio bora kuchukua raslimali ya vitu vya watu kana kwamba ilikuwa kuwala watu wenyewe.

akiwatumia ninyi kwa faida yake

Mtu anayechukua fursa ya mtu mwingine kwa kujua vitu ambavyo mtu mwingine havifahamu, na kuyatumia hayo maarifa kumsaidia yeye mwenyewe na kumwumiza mtu mwingine.

Nitasema kwa aibu yetu kwamba sisi tukuwa dhaifu sana kufanya hivyo

Kwa aibu ninakiri kwamba hatukuwa wenye nguvu vya kutosha kuwatendae ninyi hivyo. Paulo anatumia neno la kinyume kuonyesha kuwa siyo kwa sababu alikuwa dhaifu hivyo aliwatendea wao vizuri.

Na bado kama yeyote akijivuna.... mimi pia nitajivuna.

"vyovyote mtu akijisifu, juu ya....mimi pia sitaogopa kufanya hivyo"