forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
744 B
Markdown
20 lines
744 B
Markdown
# Lakini nina hofu kwamba kwa namna fulani....ibada safi kwa Kristo
|
|
|
|
"Lakini nina hofu kwamba kwa namna fulani wasiwasi wenu ineweza kuwatoa katika kweli na ibada safi kwa Kristo kama nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila"
|
|
|
|
# mawazo yenu yanaweza kupotoshwa mbali
|
|
|
|
Paulo anazungumza kama vile walikuwa wanyama ambao watu wanaweza kuwaongoza katika njia isiyo sahihi.
|
|
|
|
# kwa mfano kwamba mtu fulani akaja na
|
|
|
|
"Wakati mtu yeyote akija na"
|
|
|
|
# kwa mfano kwamba mkapokea roho mwingine tofauti na yule mliyempokea. Au kwa mfano kwamba mkapokea . Au kwa mfano kwamba mkapokea injili nyingine tofauti na ile mliyoipokea
|
|
|
|
"roho tofauti na Roho Mtakatifu, au injili tofauti na ile mliyopokeamktuoka kwetu"
|
|
|
|
# Mkavumilia mambo haya
|
|
|
|
"shughulikia vitu hivi"
|