sw_tn/2co/11/03.md

744 B

Lakini nina hofu kwamba kwa namna fulani....ibada safi kwa Kristo

"Lakini nina hofu kwamba kwa namna fulani wasiwasi wenu ineweza kuwatoa katika kweli na ibada safi kwa Kristo kama nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila"

mawazo yenu yanaweza kupotoshwa mbali

Paulo anazungumza kama vile walikuwa wanyama ambao watu wanaweza kuwaongoza katika njia isiyo sahihi.

kwa mfano kwamba mtu fulani akaja na

"Wakati mtu yeyote akija na"

kwa mfano kwamba mkapokea roho mwingine tofauti na yule mliyempokea. Au kwa mfano kwamba mkapokea . Au kwa mfano kwamba mkapokea injili nyingine tofauti na ile mliyoipokea

"roho tofauti na Roho Mtakatifu, au injili tofauti na ile mliyopokeamktuoka kwetu"

Mkavumilia mambo haya

"shughulikia vitu hivi"