sw_tn/2co/10/17.md

384 B

ajivunaye ndani ya Bwana

"kijivuna juu ya kile ambacho Bwana amefanya"

ajithibitishaye mwenyewe

Hii ina maana kuwamba yule atoaye humwuliza kilamtu anayemsikia kuamua ikiwa yuko sahihi au si sahihi.

yule ambaye Bwana humthibitisha

"ambaye Bwana humthibitisha"

ni yule ambaye Bwana humthibitisha.

Unaweza kuweka wazi ufahamu wa habari: "yule ambaye Bwana himthibitisha"