# ajivunaye ndani ya Bwana "kijivuna juu ya kile ambacho Bwana amefanya" # ajithibitishaye mwenyewe Hii ina maana kuwamba yule atoaye humwuliza kilamtu anayemsikia kuamua ikiwa yuko sahihi au si sahihi. # yule ambaye Bwana humthibitisha "ambaye Bwana humthibitisha" # ni yule ambaye Bwana humthibitisha. Unaweza kuweka wazi ufahamu wa habari: "yule ambaye Bwana himthibitisha"