sw_tn/2co/10/13.md

655 B

Habari za Jumla

Paulo anazungumia mamlaka aliyo nayo kama vile yalikuwa ardhi juu yake aliyoimiki, vitu vile juu yake ambachomalikuwa na mamlaka, kama kuwa kwenye mpaka au ukomo wa nchi yake , na vitu hivyo haviko chini ya mamlaka yake kama vimekuwa mbali na mipaka.

hatutajivuna kupita mipaka

Hii ni nahau au lahaja " sitajivuna juu ya vitu ambavyo sina mamlaka navyo"

ndani ya mipaka ambayo Mungu

"kuhusu vitu chini ya mamlaka ambayo Mungu"

mipaka ambayo inayofika umbali kama wenu ulivyo.

Paulo anazungumzia mamlaka aliyo nayo ka vile ardhi ambayo juu yake anaitawala.

hatukujizidishia wenyewe

"hatukuwe nda nje ya mipaka yetu"