forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
655 B
Markdown
20 lines
655 B
Markdown
|
# Habari za Jumla
|
||
|
|
||
|
Paulo anazungumia mamlaka aliyo nayo kama vile yalikuwa ardhi juu yake aliyoimiki, vitu vile juu yake ambachomalikuwa na mamlaka, kama kuwa kwenye mpaka au ukomo wa nchi yake , na vitu hivyo haviko chini ya mamlaka yake kama vimekuwa mbali na mipaka.
|
||
|
|
||
|
# hatutajivuna kupita mipaka
|
||
|
|
||
|
Hii ni nahau au lahaja " sitajivuna juu ya vitu ambavyo sina mamlaka navyo"
|
||
|
|
||
|
# ndani ya mipaka ambayo Mungu
|
||
|
|
||
|
"kuhusu vitu chini ya mamlaka ambayo Mungu"
|
||
|
|
||
|
# mipaka ambayo inayofika umbali kama wenu ulivyo.
|
||
|
|
||
|
Paulo anazungumzia mamlaka aliyo nayo ka vile ardhi ambayo juu yake anaitawala.
|
||
|
|
||
|
# hatukujizidishia wenyewe
|
||
|
|
||
|
"hatukuwe nda nje ya mipaka yetu"
|