forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
725 B
Markdown
24 lines
725 B
Markdown
# kwa kupeleka huduma hii
|
|
|
|
"Kwa huduma mliyofanya ya kutoa sadaka"
|
|
|
|
# mahitaji ya wakristo
|
|
|
|
"mahitaji ya wakristo huko Yerusalemu"
|
|
|
|
# hii pia itaongeza shukrani nyingi
|
|
|
|
"Hii itakuwa pia sababu za kila mtu kumshukuru Mungu"
|
|
|
|
# kwa sababu imeonekana kwa kufanya huduma hii imekuwa kipimo kwenu
|
|
|
|
"ukarimu wenu umekuwa kipimo cha utii na upendo mlionao"
|
|
|
|
# pia mtamtukuza Mungu kwa utii wenu na ukiri wa injili ya Kristo. Pi mtamtukuza Mungu kwa ukarimu wa sadaka mliotoa kwao na kwa kila mmoja.
|
|
|
|
"mtamtukuza Mungu, sio tu kwa utii wenu kwa kile mlichosema, na mnachoamini kuhusiana naye, lakini pia kwa uamuzi wa ukarimu wa kutoa sadaka kwa wakristo wote"
|
|
|
|
# kwa sadaka yake isiyoelezeka
|
|
|
|
"kwa sadaka isiyoelezeka, Yesu Kristo"
|