sw_tn/2co/09/12.md

725 B

kwa kupeleka huduma hii

"Kwa huduma mliyofanya ya kutoa sadaka"

mahitaji ya wakristo

"mahitaji ya wakristo huko Yerusalemu"

hii pia itaongeza shukrani nyingi

"Hii itakuwa pia sababu za kila mtu kumshukuru Mungu"

kwa sababu imeonekana kwa kufanya huduma hii imekuwa kipimo kwenu

"ukarimu wenu umekuwa kipimo cha utii na upendo mlionao"

pia mtamtukuza Mungu kwa utii wenu na ukiri wa injili ya Kristo. Pi mtamtukuza Mungu kwa ukarimu wa sadaka mliotoa kwao na kwa kila mmoja.

"mtamtukuza Mungu, sio tu kwa utii wenu kwa kile mlichosema, na mnachoamini kuhusiana naye, lakini pia kwa uamuzi wa ukarimu wa kutoa sadaka kwa wakristo wote"

kwa sadaka yake isiyoelezeka

"kwa sadaka isiyoelezeka, Yesu Kristo"