sw_tn/2co/09/10.md

742 B

Naye atoaye

"Mungu atoaye"

mkate kwa ajili ya chakula

Hapa nenp "mkate" lina maanisha chakula kwa ujumla"

pia atatoa na kuzidisha mbegu yenu kwa ajili ya kupanda

paulo anazungumza mali za Wakorintho kama vile zilikuwa mbegu za kuwapa wengine kama vile wanapanda mbegu.

Yeye ataongeza mavuno ya haki yenu.

paulo analinganisha faida ambazo Wakorintho watapokea kutokana na ukarimu wao kwa mavuno hayo.

mavuno ya haki yenu

"mavuno ambayo yanatokana na matendo ya haki." Hapa neno "haki" linamaanisha matendo ya haki ya Wakorintho kwa kutoa raslimali zao kwa waamini katika Yerusalemu.

Mtatajirishwa

"Mungu atawatajirisha"

Hii italeta shukrani kwa Mungu kupitia sisi.

Neno :hii" linamaanisha ukarimu wa Wakorintho"