sw_tn/2co/08/13.md

24 lines
695 B
Markdown

# kwa kazi hii
Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa jinsi hii: "alikuwa na kila kitu alichohitaji"
# kwamba wengine waweze kupata nafuu na ninyi mweze kulemew
Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa jinsi hii: : kuwa mtawaondolea wengine mzigo na kujitwisha wenyewe"
# ni lazima kuwe na usawa
"lazima pawe na haki"
# Hii ni hivyo pia ili kwamba wingi wao uweze kusaidia mahitaji yenu
Kwa maana Wakorintho wanatenda katika wakati uliopo, imehusishwa kuwa wakristo wa Yerusalemu kwa wakati mwingine ujao watawasaidia wao pia.
# kama ilivyoandikwa
Mahali hapa Paulo ananukuu kwenye kitabu cha Kutoka.
# hakupungukiwa na chochote
Sentensi hii yaweza kuelezwa hivi: "alikuwa na mahitaji yake yote"