sw_tn/2co/08/13.md

695 B

kwa kazi hii

Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa jinsi hii: "alikuwa na kila kitu alichohitaji"

kwamba wengine waweze kupata nafuu na ninyi mweze kulemew

Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa jinsi hii: : kuwa mtawaondolea wengine mzigo na kujitwisha wenyewe"

ni lazima kuwe na usawa

"lazima pawe na haki"

Hii ni hivyo pia ili kwamba wingi wao uweze kusaidia mahitaji yenu

Kwa maana Wakorintho wanatenda katika wakati uliopo, imehusishwa kuwa wakristo wa Yerusalemu kwa wakati mwingine ujao watawasaidia wao pia.

kama ilivyoandikwa

Mahali hapa Paulo ananukuu kwenye kitabu cha Kutoka.

hakupungukiwa na chochote

Sentensi hii yaweza kuelezwa hivi: "alikuwa na mahitaji yake yote"